Methali 17:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Ubora wa dhahabu ama fedha hupimwa kwa moto,lakini Mwenyezi-Mungu ndiye apimaye mioyo ya watu.

Methali 17

Methali 17:1-5