Methali 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Asiyemcha Mungu huangamiza wengine kwa mdomo wake,lakini mwadilifu huokolewa kwa maarifa yake.

Methali 11

Methali 11:6-14