Maombolezo 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu ameipuuza madhabahu yakena hekalu lake amelikataa.Kuta za majumba mjini amewaachia maadui wazibomoe,wakapiga kelele humo nyumbani kwa Mwenyezi-Mungukama kelele za wakati wa sikukuu.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:6-11