Maombolezo 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amekuwa kama adui,ameangamiza watu wa Israeli;majumba yake yote ameyaharibu,ngome zake amezibomoa.Amewazidishia watu wa Yudamatanga na maombolezo.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:2-11