Maombolezo 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Amevuta upinde wake kama adui,na kuuweka mkono wake wa kulia tayari,amewaua wote tuliowaonea faharikatika maskani yetu watu wa Siyoni.Ametumiminia hasira yake kama moto.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:1-13