Maombolezo 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu, kwa hasira yake,amewaweka watu wa Siyoni gizani.Fahari ya Israeli ameibwaga chini.Siku ya hasira yakealilitupilia mbali hata hekalu lake.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:1-3