Maombolezo 1:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Uchafu wake ulionekana waziwazi,lakini wenyewe haukujali mwisho wake.Anguko lake lilikuwa kubwa mno;hakuna awezaye kuufariji.Wasema:“Tazama ee Mwenyezi-Mungu mateso yangu,maana adui yangu ameshinda.”

Maombolezo 1

Maombolezo 1:4-13