Maombolezo 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Maadui wamenyosha mikono yao,wanyakue vitu vyake vyote vya thamani.Naam umeona watu wa mataifa wakiingia hekaluni,watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwakatazakujumuika na jumuiya ya watu wake.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:5-11