Maombolezo 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nainyosha mikono yangulakini hakuna wa kunifariji.Mwenyezi-Mungu ametoa amri dhidi yangu mimi Yakobo,jirani zangu wawe maadui zangu.Naam, mimi Yerusalemu nimekuwa kinyaa kwao.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:10-22