Kutoka 15:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe utawaleta watu wako na kuwapanda mlimani pako;pale ulipochagua ee Mwenyezi-Mungu pawe makao yako,mahali patakatifu ee Mwenyezi-Mungu ulipojenga kwa mikono yako.

Kutoka 15

Kutoka 15:8-25