Kutoka 15:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Kitisho na hofu vimewavamia.Kwa sababu ya ukuu wa nguvu zako,wao wamenyamaza kimya kama jiwe,mpaka watu wako ee Mwenyezi-Mungu, wapite,naam, mpaka watu hao uliowakomboa wamewapita.

Kutoka 15

Kutoka 15:7-20