Kumbukumbu La Sheria 9:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilimwomba Mwenyezi-Mungu, nikisema. ‘Ee Mwenyezi-Mungu, usiwaangamize watu wako na urithi wako, watu uliowakomboa na kuwatoa katika nchi ya Misri kwa uwezo na nguvu yako kubwa.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:16-29