Kumbukumbu La Sheria 9:25 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kwa hiyo, nililala kifudifudi mbele ya Mwenyezi-Mungu siku hizo arubaini, usiku na mchana, kwa sababu Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema atawaangamiza.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:24-29