Kumbukumbu La Sheria 9:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliogopa kwamba hasira na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu dhidi yenu, ingewaangamiza; lakini Mwenyezi-Mungu alinisikiliza pia wakati huo.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:12-27