Kumbukumbu La Sheria 9:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha nikalala chini kifudifudi mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama hapo awali, kwa muda wa siku arubaini usiku na mchana; sikula chakula wala kunywa maji, kwa sababu ya dhambi mliyokuwa mmetenda kwa kufanya maovu mbele yake Mwenyezi-Mungu kwa kumkasirisha.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:13-24