Kumbukumbu La Sheria 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:4-11