Kumbukumbu La Sheria 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini watendeni hivi: Mtazivunjilia mbali madhabahu zao na kuzibomoa nguzo zao. Na sanamu za Ashera mtazikatilia mbali na kuzitia moto sanamu zao za kuchonga.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:1-8