Kumbukumbu La Sheria 7:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atayafukuza mataifa haya kadiri mnavyosonga mbele kidogokidogo. Hamtaweza kuyaangamiza yote kwa mara moja, kwa sababu mkifanya hivyo idadi ya wanyama wa porini itazidi na kuwa tisho kwenu.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:15-24