Kumbukumbu La Sheria 7:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, msiwaogope, kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, yuko kati yenu. Yeye ni Mungu mkuu na wa kutisha.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:12-23