Kumbukumbu La Sheria 7:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Angamizeni taifa lolote ambalo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu; atalitia mikononi mwenu, wala msilionee huruma. Msiabudu miungu yao, kwani jambo hili litakuwa mtego kwenu.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:6-26