Kumbukumbu La Sheria 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atawaondoleeni magonjwa yote na hamtapatwa na magonjwa yoyote ya kutisha kama yaliyowapata huko Misri, lakini atawapa maadui zenu magonjwa hayo.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:11-16