Kumbukumbu La Sheria 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mkisikiliza maagizo haya na kuyashika hata kuyatenda, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atashika agano lake nanyi na atawaonesheni fadhili kama alivyowaahidi babu zenu.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:8-18