Kumbukumbu La Sheria 6:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena tutakuwa waadilifu kama tukitimiza kwa uangalifu amri hizi zote mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, kama alivyotuamuru’.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:19-25