Kumbukumbu La Sheria 6:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mwenyezi-Mungu alituamuru kuzitii kanuni hizi zote na kumcha kwa faida yetu wenyewe; apate kutulinda daima kama hivi leo.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:15-25