Kumbukumbu La Sheria 6:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa macho yetu wenyewe tulimwona akifanya ishara na miujiza na mambo ya kutisha na ya ajabu dhidi ya Wamisri, mfalme wao na wakuu wake.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:15-23