Kumbukumbu La Sheria 6:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mtawajibu hivi: ‘Sisi tulikuwa watumwa wa Farao, mfalme wa Misri, na Mwenyezi-Mungu akatuokoa kwa mkono wake wenye nguvu.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:20-22