Kumbukumbu La Sheria 6:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Fanyeni yale yanayompendeza Mwenyezi-Mungu, ili mpate kufanikiwa. Mtaweza kuimiliki nchi ile nzuri ambayo Mwenyezi-Mungu aliapa kuwapa babu zenu,

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:15-21