Kumbukumbu La Sheria 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakikisheni kwamba mnazitii amri zake Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, maamuzi na masharti yake ambayo amewaamuru.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:12-24