Kumbukumbu La Sheria 5:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini ya nini kujitia katika hatari ya kufa kwa kuteketezwa na ule moto mkubwa? Tukiisikia tena sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tutakufa!

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:22-30