Kumbukumbu La Sheria 5:24 Biblia Habari Njema (BHN)

wakasema, ‘Sikiliza! Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametufunulia utukufu na ukuu wake; tumeisikia sauti yake kutoka katikati ya ule moto. Leo hivi tumemwona Mungu akiongea na binadamu, naye binadamu badala ya kufa akaendelea kuishi!

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:19-30