Kumbukumbu La Sheria 5:22 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hizi ndizo amri Mwenyezi-Mungu alizowaambieni nyote kwa sauti kubwa kutoka katika moto na lile wingu zito na giza nene. Aliwaambieni mlipokuwa mmekusanyika kule mlimani na hakuongeza hapo amri nyingine. Kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe, akanipatia.

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:17-32