Kumbukumbu La Sheria 5:21 Biblia Habari Njema (BHN)

“ ‘Usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba yake, wala shamba lake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala kitu chochote alicho nacho jirani yako.’

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:13-26