Kumbukumbu La Sheria 4:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Alitenga mji wa Beseri katika tambarare ya jangwa kwa ajili ya kabila la Reubeni; mji wa Ramothi katika nchi ya Gileadi kwa ajili ya kabila la Gadi, na mji wa Golani katika nchi ya Bashani kwa ajili ya kabila la Manase.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:40-49