Kumbukumbu La Sheria 4:42 Biblia Habari Njema (BHN)

ambamo mtu ataweza kukimbilia na kujisalimisha, kama ameua mtu ambaye si adui yake kwa bahati mbaya. Mtu kama huyo ataweza kukimbilia katika mji mmojawapo na kuyaokoa maisha yake.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:38-44