Kumbukumbu La Sheria 4:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliwafanya muisikie sauti yake kutoka mbinguni ili aweze kuwafunza nidhamu; na hapa duniani akawafanya mwone moto wake mkubwa na kusikia maneno yake kutoka katikati ya moto huo.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:35-46