Kumbukumbu La Sheria 4:35 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mlijaliwa kuyaona mambo hayo, ili mpate kutambua kwamba Mwenyezi-Mungu, ndiye peke yake Mungu na wala hakuna mwingine.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:34-38