kama mkiuona upanga wangu umeremetao,na kunyosha mkono kutoa hukumu,nitawalipiza kisasi maadui zangu,nitawaadhibu wale wanaonichukia.