Kumbukumbu La Sheria 32:39 Biblia Habari Njema (BHN)

Oneni kuwa mimi ndimi Munguna wala hakuna mwingine ila mimi.Mimi huua na kuweka hai;hujeruhi na kuponya,na hakuna awezaye kumwokoa yeyote mikononi mwangu.

Kumbukumbu La Sheria 32

Kumbukumbu La Sheria 32:38-41