Kumbukumbu La Sheria 31:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mose akamwita Yoshua, akamwambia mbele ya watu wote wa Israeli, “Uwe Imara na hodari, maana wewe utawaongoza watu hawa kwenda kuimiliki nchi ambayo Mwenyezi-Mungu aliwaahidi babu zao; nawe utawakabidhi waimiliki.

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:3-9