Kumbukumbu La Sheria 31:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Muwe imara na hodari, wala msiwaogope au kutishwa nao, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ndiye anayekwenda pamoja nanyi. Yeye hataacha kuwasaidia na hatawatupa.”

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:4-9