Kumbukumbu La Sheria 31:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakusanye mbele yangu wazee wote wa makabila yenu na maofisa wenu nipate kusema maneno haya wasikie, nazo mbingu na dunia zishuhudie juu yao.

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:25-30