Kumbukumbu La Sheria 31:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana najua mlivyo waasi na wakaidi. Ikiwa mmemwasi Mwenyezi-Mungu wakati niko hai pamoja nanyi, itakuwaje baada ya kifo changu?

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:26-30