Kumbukumbu La Sheria 31:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Siku yako ya kuaga dunia imekaribia. Mwite Yoshua, mje pamoja katika hema la mkutano ili nimpe maagizo.” Basi, Mose na Yoshua wakaenda katika hema la mkutano,

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:8-19