Kumbukumbu La Sheria 31:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakusanye watu: Wanaume, wanawake, watoto na wageni wanaoishi katika miji yenu, ili kila mmoja asikie maneno haya ya kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuwa waangalifu kutekeleza maneno ya sheria hii.

Kumbukumbu La Sheria 31

Kumbukumbu La Sheria 31:11-15