Kumbukumbu La Sheria 30:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawafanya mfanikiwe katika kila mtakalofanya; mtakuwa na watoto wengi na ng'ombe wengi na mashamba yenu yatatoa mazao. Maana atapenda tena kuwafanya mfanikiwe kama vile alivyopenda kuwafanikisha wazee wenu,

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:1-19