Kumbukumbu La Sheria 30:10 Biblia Habari Njema (BHN)

ikiwa mtiatii sauti yake na kushika amri na masharti yake yaliyoandikwa katika kitabu hiki cha sheria na kumrudia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wote na roho yote.

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:2-18