Kumbukumbu La Sheria 30:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Na hata kama mmetawanywa katika sehemu mbali kabisa duniani, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawakusanya na kuwarudisheni,

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:2-13