Kumbukumbu La Sheria 30:3 Biblia Habari Njema (BHN)

hapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawarudishieni mema yenu na kuwahurumia na kuwakusanya tena kutoka katika mataifa ambamo atakuwa amewatawanya.

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:1-10