Kumbukumbu La Sheria 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Miji yote hii ilikuwa na ngome zenye kuta ndefu, zilizokuwa na malango na makomeo. Kulikuwa pia na vijiji vingi ambavyo havikuzungukwa na kuta.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:4-11