Kumbukumbu La Sheria 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Tuliiteka miji yake yote; hakuna hata mji mmoja ambao hatukuuteka. Jumla tuliiteka miji sitini, yaani eneo lote la Argobu ambalo lilitawaliwa na mfalme Ogu wa Bashani.

Kumbukumbu La Sheria 3

Kumbukumbu La Sheria 3:1-14